Tuesday, January 5, 2010

Ingawa hawa jamaa wa jiji wanajitahidi katika usafi, lakini usafi wa mazingira bado ni jukumu la kila mmoja wetu. Utupaji ovyo wa taka na watu kujisaidia vichochoroni badala ya kutumia vyoo si uungwana!! Tuige wanavyofanya Kigali.