Monday, January 11, 2010

Katika miaka ya nyuma kabda hajaamua kufuata Bwana Yesu, Dr. Remmy Ongala alitufurahisha na kipaji chake katika kupangilia nyimbo za musiki wa dansi ulioleta burudani la hali ya juu sana. Wengi bado tunavikumbuka sana vibao vingi alivyovitoa huyu bwana, vingi vikigusia maisha ya kila siku ya Mtanzania. Asante sana Dr. Remmy na hongera nyingi katika maisha yako mapya ya kiroho!!