Sunday, January 24, 2010

Kuuliza si ujinga, hivi ni kwanini picha mpya ya raisi ilibadilishwa kutoka maandishi ya kiswahili na kuwa ya kiingereza? Je! hii ni kuikuza na kuitukuza lugha yetu au ndio kuiuwa taratibu taratibu?

No comments:

Post a Comment