Saturday, January 16, 2010Kwenye michuano ya Africa Cup of Nations yanayoendelea nchini Angola, Ivory Coast yaicharaza Ghana 3-1 na kufanikiwa kuingia robo fainali katika mchezo uliofanyika siku ya Ijumaa tarehe 15 Januari 2010.