Sunday, January 3, 2010

WAPENDWA WOTE WAFUATILIAJI WA BLOGU HII
NAPENDA NIOMBE RADHI KWA KUTOKUWA
MTANDAONI KWA SIKU KADHAA.
VILE VILE NATOA POLE KWA YALIYOTUSIBU KWA KUONDOKEWA
NA MPENDWA MZEE WETU "SIMBA WA VITA" RASHID MFAUME KAWAWA
NA KWA FAMILIA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
WAPENDWA NAOMBA BADO TUWE PAMOJA!