Friday, February 12, 2010

DUNIA NZIMA TUNAKUMBUKA NA KUSHEHEREKEA MIAKA 20 YA SIKU MPENDWA MZEE WETU NELSON "MADIBA" MANDELA ALIPOACHIWA HURU BAADA YA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA 27 KWA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI AFRIKA YA KUSINI. ASANTE SANA MZEE MANDELA NA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI!!!!








Shujaa na mwana wa kweli wa Afrika.... Watu wa namna yake wako wachache sana Duniani!

1 comment:

  1. Lakini hatuambiwi kwa nini alimfukuza mke wake wa kwanza, Evelyn Mase, na kumwoa mke kijana Winnie Madikizela; na wala hawatwambii mke wake huyo wa kwanza yuko wapi na watoto wake!

    Mzee mtoto wa Chifu na kasoma; alitaka kuoa mke msomi mwenzake kuliko yule wa kijijini!

    ReplyDelete