MAWAZIRI WETU WAKUU BAADA YA UHURU
Mizengo Pinda
Edward Lowassa
Fredrick Sumaye
John Malecela
Joseph Warioba
Ahmed Salim
Cleopa Msuya
Edward Sokoine
Rashid Kawawa
Baada ya uhuru nchi yetu imejaliwa kuwa na Mawaziri Wakuu tisa tofaufi, na wengine kuwa katika wadhifa huo ama kwa vipindi zaidi ya kimoja katika nyakati tofauti au kuwa kwenye nafasi hiyo kwa kipindi kirefu mfululizo.
Nadhani haitakuwa vibaya kwa Watanzania kuwajadili na kujua walilifanyia nini Taifa letu wakati wa uongozi wao. Hawa siku zote watakuwepo kwenye historia ya nchi yetu. Tukumbuke ya kuwa ili kusonga mbele ni lazima tutazame tulikotoka, kwani kweli bado tuna safari ndefu saaaaaana!!!!!
No comments:
Post a Comment