Friday, March 19, 2010

Moja ya Hoteli za siku nyingi jijini Arusha ni hii ya New Safari Hotel. Zamani kwenye miaka ya themanini ilivuma sana na disco lake "The Cave Disco" ambapo kwa wale wapenda starehe ndipo kulikuwa mahali pa kukutania enzi hizo.

Vijana tukiwa tayari kuingia "The Cave Disco" enzi hizo. Kutoka kushoto, Fundi, Santina na Matare.

3 comments:

  1. Picha kali sana manake inakumbusha mbali kweli..Yani namkumbuka bro wangu mkubwa alikuwa na album fulani ina picha kama hizi za viwanja vya zamani duh aisee burudani kweli!

    ReplyDelete
  2. Duh! Asante sana Mr. Fundi. Hakika kwa wakazi wa A-Town Cave Disco ndipo palipokuwa kiota cha Maraha. Namkumbuka DJ Marcop (Marehemu)alivyokuwa anaburudisha wakazi wa A-town.

    Asante sana kwa kushare kumbukumbu zako.

    ReplyDelete