Baada ya kujiuliza kwa kipindi kirefu, nimekuja kugundua kumbe fujo na heka heka za taxi hapa jijini New York zinatokana na madereva wake kuwa wametoka katika nchi mbali kama vile India, Afrika, Ulaya Mashariki, Amerika ya Kusini n.k. Sasa ukija kuchanganya hali halisi ya uendeshaji huko watokako ndipo vurugu linapotawala.
No comments:
Post a Comment