Thursday, April 8, 2010

Jengo mojawapo jijini Arusha wakati likiwa kwenye ujenzi na baada ya kumalizika. Miji yetu mingi siku hizi inaendelea kuwa na majumba kama haya, lakini swali kubwa ni kwamba, je! tunayo miundombinu inayoendana nayo?

No comments:

Post a Comment