Thursday, April 15, 2010



Leo tiketi za kombe la dunia la mpira wa miguu zilianza kuuzwa rasmi kwa umati wa watu kule Afrika ya Kusini na wapenzi wengi wa mchezo huo walijitokeza kwa wingi kama ionekanavyo kwenye picha hapo juu.

No comments:

Post a Comment