Nchi yetu Tanzania Mungu ameijalia kila aina ya neema. Tuna bandari zaidi ya tatu na nchi yetu sio kama zilivyo nchi nyingine kwa mfano Zaimbia, Burundi au Rwanda. We have an outlet to the sea!!! Ambacho ni ni kigezo kimoja kikubwa cha biashara. Swali ni kwamba, je tunazitumia bandari zetu ipasavyo?
No comments:
Post a Comment