Thursday, May 6, 2010

Huduma za afya kwa kina mama katika nchi yetu haziridhishi kabisa. Kina mama wajawazito wanapata huduma hafifu sana mbali na kashfa wanazopata toka kwa wahudumu mahosipitali. Swali ni kwamba, je ni lini viongozi tunaowaweka madarani watalipa kipaumbele suala zima la afya za kina mama?