Saturday, May 1, 2010

KUMBUKUMBU!!

 Wakati tulipopatanishwa na Wanaigeria...Wawili kati ya viongozi makini wa Afrika enzi hizo. Mtazamo na mwelekeo wao kama ungefanikiwa kwa kweli Afrika tungekuwa mbali sana, kwani walikuwa na upeo wa kuona mbali sana kuhusu bara letu hili.