Wednesday, May 19, 2010

Kwa wale watakao bahatika kulitembelea jiji la Washington, DC, hizi ni baadhi ya sehemu muhimu katika jiji hili kuweka katika orodha ya kuzitembelea.