Wednesday, May 5, 2010


Majengo mazuri na marefu sasa tunayo lakini mabarabara katikati ya jiji letu kwa kweli yanahitaji kuboreshwa kuendana na wakati. Misongamano katikati ya jiji inachangia sana katika kuzorotesha shughuli za kila siku hapo jijini. Ukitizama pichani hapo juu, utaona wazi kwamba nafasi ya upanuzi ipo iwapo  kama namna nyingine ya maegesho ya magari kando ya barabara itapatikana.