Monday, May 17, 2010

MISS USA 2010
Mwanadada Rima Fakih, 24 mwenye asili ya Kiharabu avikwa taji la umisi wa Marekani 2010 na kuwaacha nje Wazungu na Wamarekani Weusi. Kwa kweli Marekani inabadilika na nini kitatokea kwenye miaka ya baadaye... Lets wait and see!!!