Wednesday, June 2, 2010

Hivi ni sawa kuuvua Utanzania wako kwa kutaka kupata hili ganda la Kibluu?

5 comments:

  1. Kama umeamua kuishi marekani tatizo liko wapi?
    Nawashauri watanzania wote waishio marekani, kama wanaweza kupata hilo ganda wachukue tu. Tatizo tu kulipata hilo ganda kasheshe!

    ReplyDelete
  2. Sidhani kama kuna tatizo lolote, kwani sasa hivi dunia yetu imekuwa kama kijiji. Isitoshe, nchi nyingi sasa hivi zinakumbatia utaratibu wa duo nationality. Hivyo basi, itakuwa faida zaidi ukipata ganda hilo la marekani, na ambalo litakupa heshima Dunia nzima.

    ReplyDelete
  3. ni kutokana na ugumu wamaisha,tuko wengi tunaotaka hilo ganda tatizo uwezo hatuna

    ReplyDelete
  4. "...na ambalo litakupa heshima Dunia nzima."

    Nani kakudanganya hivyo?

    ReplyDelete
  5. Nani kakudanganya hivyo?
    Nenda na huo mkoba ubalozi wowote Duniani uone kama kuma utaulizwa maswali zaidi ya matatu. Nilienda Dubai na rafiki yangu ambaye alikuwa na huo mkoba, yeye kapewa entry ya mwaka mzima, hali mimi nikapewa wiki mbili tu.

    ReplyDelete