Wednesday, June 16, 2010

Matokeo ya Jumanne, Juni 15

New Zealand na Slovakia nguvu sawa, ngoma imemalizika kwa 1-1


Ivory Coast wawapa tabu Portugal 0-0


North Korea waonja makali ya Brazil, wapigwa 2-1