Sunday, June 13, 2010

MATOKEO YA MECHI ZA LEO!!

Wamarekani wawalazimisha Waingereza kutoka nao sare 1-1


Wanaigeria wagongwa 1-0 na Waagentina


Wakorea Kusini wawararua Wagiriki 2-0