Saturday, July 3, 2010

Brazil washindwa kuingia robo fainali - waaibishwa na Netherlands kwa kupigwa 2-1


Mbio zetu zafikia ukingoni, Waafrika twatolewa baada ya tumaini letu lililobakia(Ghana) kushindwa kufika robo fainali kufuatia mechi kali iliyokwenda 1-1 na baadae kufungwa kwa penalti 4-2 na Uruguay.