Saturday, July 3, 2010

Dada yetu Serena Williams alitetea taji lake la Wimbledon kwa kumshinda Mrusi Vera Zonareva kwa seti mfululizo 6-3, 6-2 na kuongeza idadi ya ushindi wa grand slam kufikia 13.