Thursday, July 1, 2010

Washabiki jino kwa jino tena na FFU wa ngoma Afrika band!FFU wa Ngoma Africa band watatumbuiza katika onyesho kubwa la World Musi Festival,Loshausen, kando kidogo ya mji wa Kassel, Ujerumani, siku ya Ijumaa 23 Julai 2010, ambako washabiki wanasubiri kwa hamu kujimwaga uwanjani na mziki wa ffu wa Ngoma Africa Band. wazee wa kukaanga mbuyu. Bendi hiyo maarufu iliayoanzishwa mwaka 1993 na kujizolea umaarufu kila kona duniani kwa sasa inatamba na singo CD mpya iliyobeba jina "Jakaya Kikwete 2010".

Jipendelee mwenye kwa kujipa raha at www.myspace.com/thengomaafrica  pia unaweza kujumika nao katika baraza la www.facebook.com/ngomaafrica pia usikose kubofya www.world-music-festival.de