Friday, September 3, 2010

Kweli binadamu hatulingani...

Sio ya kwamba sipendi wanyama, lakini haya yanaweza kuwa matusi! Wakati bado kuna watoto katika nchi nyingi duniani wanakata mbuga kwenda mashuleni, huku wenzetu wanawapeleka mbwa kwenye day camp na mabasi!!! Je! usawa uko wapi?

No comments:

Post a Comment