Thursday, September 2, 2010

Wakati kipindi cha hali ya joto kinakaribia kufikia ukingoni, wengi wa wakazi na watalii wa jiji la New York waendelea kufurahia hali hii ya hewa kwa kutumia muda mwingi kwenye "outdoors" kwani pindi baridi itakapoanza yote haya yatakuwa ni hadithi  hadi mpaka mwakani!

No comments:

Post a Comment