Monday, October 11, 2010

Ndugu Waheshimiwa,Wananchi Mabibi na Mabwana!!!!

Katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu,

Usikose kutumia nafasi hii kwa kujipatia zawadi ya nyimbo mbili

maarufu kwa jina la "JAKAYA KIKWETE 2010" nyimbo hizo unapewa bure

kwa mda wa wiki 3 unaweza kuzipata at http://www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band

au www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band kwa kobofya katika tuvoti hiyo unaweza kusikiliza

na kupata kopi ya nyimbo hizo na pia usikose kuungana na ujumbe uliomo katika nyimbo hizo kwamba

"Jakaya Kikwete 2010.

Ndugu wananchi msikose kutumia offer hii na nafasi kwa wakati huu muhafaka

No comments:

Post a Comment