Thursday, October 7, 2010

WILLIAM MALECELA "MUTU" COMING TO FUNDIWAKOMBO BLOG

@ NEW YORK

WELL, heshima mbele sana kwa wananchi na wapenzi wote wa Fundiwakombo Blog, kwa heshima na taadhima leo naomba kukubali mualiko kutoka kwa mmiliki wa hii blog, a longtime friend Bwana Fundi, kuja hapa kushirikiana naye na nyinyi pia katika kueleweshana na kuelemishana kuhusu yanayojiri katika maisha yetu ya kila siku. Kuanzia habari za nyumbani Tanzania na hata ya nje ya nchi yetu na hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi wa Taifa letu. Ninaomba kukaribia na kuwakaribisha pia, karibuni sana na tupo pamoja sana hapa kuanzia leo.

Wasalaam.

William Malecela.

No comments:

Post a Comment