Friday, January 28, 2011

Kinachoendelea Kwa Bwana H. Mubaraak kama ingekuwa ni Mugabe tayari tungesikia makelele ya kila namna kutoka kwa waheshimiwa, lakini sivyo itakavyokuwa! Kwani tofauti kati yao ni nini? Jamaa washachoswa na miaka 30 yakutawaliwa na huyu jamaa na wana kila haki ya kudai mabadiliko ya uongozi.

No comments:

Post a Comment