Saturday, January 15, 2011

TEMBEA UJIONEE  JINSI GANI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  INAVYOFANANA!!















Haya ndiyo yalivyo maisha ya Watanzania wenzetu huko vijijini... fofali, bati wala mbao wao hazitowafikia na wataendelea kukaa kwenye maisha haya pengine hata kwa miaka mingine 50. Umeme na maji safi kwao ni kama ndoto za mwendawazimu,  na haya ndiyo matunda ya uhuru wetu!!
Serikali yetu ni lazima iwe na mpango mzuri wa kuwekeza rasilimali za kutosha ili kuweza kuinua maisha ya Watanzania kama hawa, la sivyo ni wazi kabisa tutashuhudia Taifa letu kudidimia na kuwa duni kabisa.

No comments:

Post a Comment