Friday, February 4, 2011

Kwa miaka mingi hawa ndugu zetu wa Kimasai wamekuwa wakiishi kwenye nyumba zao za asili na kuwa na maisha ya kawaida kabisa., je! ni kigezo kipi kinatumika katika kuwashawishi kwamba kibanda kama hicho hapo juu si bora na wanahitaji nyumba ya kisasa?

No comments:

Post a Comment