Monday, February 14, 2011

Mawaziri wa Tanganyika 1961

Kwa kweli ni wazi bado tulikuwa hatujafanya maamuzi ya "kivazi",  suti, kazu, mgolole ama mtandao! baadae nadhani ndio tuliamua Kaunda suti.