Friday, February 18, 2011

Super Models?
WAREMBO/MODELS ?

HAPANA!!
WOTE HAWA NI MAJIDUME...
SIJUE NYIE WENZANGU LAKINI BADO SINA JIBU NI KWANINI KAMA BINADAMU UMEZALIWA NA JINSIA FULANI USIRIDHIKE NAYO!
KAMA UMEZALIWA HASANI, ANDREW N.K NI KWANI UNADHANI MUUMBA ALIKOSEA HIVYO INABIDI UWE HASINA, ANDREA N.K.?
KATIKA NCHI ZA ULAYA, AMERIKA NA SEHEMU NYINGINE MBALI MBALI DUNIANI BADO WANANGAIKA NA HILI SUALA KISHERIA NA KIDINI, NADHANI KWETU BADO NI GUMZO TUU, LAKINI UKWELI NI KWAMBA TUTAFIKA MAHALA NASI ITABIDI KULIZUNGUMZA KISHERIA NA VILE VILE KIDINI.