Sunday, March 27, 2011

TATIZO NI NINI?





Kama mnaweza kucheka pamoja na kukumbatiana kwa furaha kwanini basi msiache hizo siasa za kijinga ili muwekeze bidii kwenye kuwaondolea wananchi matatizo yao? Wacheni malumbano ya kisiasa, sisi hayatatufikisha popote. Tunachohitaji ni UMEME, MAJI, ELIMU BORA, MAHOSIPITALI YANAYOELEWEKA, NYUMBA BORA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!!! ACHENI UBINAFSI.

No comments:

Post a Comment