Thursday, April 14, 2011

NANI MWENYE MAKOSA???


Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota ghafla akapiga kelele "Jifiche mume wangu kaja"

au Mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo nakukimbia akidhani amelala na mke wa mtu!!??

 

No comments:

Post a Comment