Monday, May 23, 2011


Graduation ya Shemeji Dada "Anita Mungai-Rumadha


Shemeji Da' Anita Mungani-Rumadha Kachukua Nondozzzzzzz!! huko "University of North Texas" ,Amerika aka nchi ya herufi 3 au USA,

Dada Anita Mungai-Rumadha aka Shemeji mke wa Kaka sensei Rumadha fundi,Juzi alijiweka rekodi ya kujiunga na akinana Dada Mashujaa katika elimu kwa kulamba NONDOZZ!! ya shahada ya " "Social Work" katika mahafali yaliyo fanyika chuo kikuu cha North Texas,nchini Marekani.

Nderemo nderemo! Shamra Shamra na Shangwe zilifunika katika sherehe hizo ,zikiongozwa na Sensei Rumadha Fundi (mume wa Dada Anita Mungai) zikisindikizwa kwa mayoe na ndugu,maarafiki wengi waliokuapo ukumbini...

Hizi picha ni za graduation ya Bi.Anita Mungai-Rumadha, mke wake Sensei Rumadha, hapa katika "University of North Texas" shahada ya "Social Work" Last Saturday, May 14, 2011.

Pichani ni Anita, watoto Ruani & Iman.

 Anita na Cousin wake Kitova Mungai.

 Pichani Anita na professor wake na rafiki na jamaa chuoni siku ya kupokea shahada