Friday, June 3, 2011

CHEKA UKAUKE!!

Mchagga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia:-

Mume akauliza: “Umenunua sh. ngapi?”

Mke akamjibu: “ELFU MOJA.”

Mume akamwambia: “Irudishe nenda kwa Masawe anauza “MIA TANO” fanya haraka ntazama!!!!”





No comments:

Post a Comment