Wednesday, June 8, 2011









Summer ndiyo hiyo tena inakaribia na jijini New York pameanza kupamba moto kwa kila anayeweza kufurahia kipindi hiki cha karibu miezi mitatu kutoka nje na kufurahia kajoto kabda ya LIBARIDI kuanza tena.

No comments:

Post a Comment