Friday, July 22, 2011

Breaking newzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!
 
WIMBO WA BONGO TAMBARARE ! UPO HEWANI !!!


FFU wa Ngoma Africa Band waanza Shamra shamra za miaka 5O ya uhuru mapema!!!!!!!! na kasi kubwa !
 Bendi maarufu ya mziki wa dansi baranu ulaya Ngoma Africa band aka FFU, wamestua ulimwengu kwa kurusha hewani wimbo mpya uliobeba jina la "Bongo Tambarare" kama mojawapo ya mwanzo wa shamra shamra za kuelekea katika sherehe za miaka 50 ya Uhuru !
Wimbo huo "Bongo Tambarare" utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja,akiimba kwa kushirikiana na Christian Bakotessa aka Chris-B,aka"Mshenzi" wa gitaa la solo, wimbo unasikika katika kambi ya FFU at www.ngoma-africa.com  wimbo huu ni salam za mwanzo tu kutoka bendi hiyo watanzania wote popote walipo, lakini bendi hiyo itaipua jikoni vitu vipya rasmi katika siku za usoni,hili kuhakikisha umma wa wananchi wa Tanzania na marafaki wote wanapata burudani kamili hisiyo na mfano. Usikose kusikiliza "Bongo Tambarare" ya watanzania at www.ngoma-africa.com pia unaweza ku Log In