HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA SIKU YA JUMATATU WAKATI WANAJUMUHIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIPOKUTANA PALE WILLSON WOODS PARK, MT. VERNON KUSHEHEREKEA KUPATA NONDO YA MA KWA NDUGU WILLY(TOKA KENYA). HII ILIKUWA NI WAKATI WA KILELE CHA SIKUKUU YA UHURU WA MAREKANI( JULAI 4)
No comments:
Post a Comment