HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, August 22, 2011
Wakati kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka kumi ya maafa ya Septemba 11 yanakaribia, ujenzi wa mahala panapojulikana kama "Ground Zero" nao unaendelea na hivi ni jinsi panavyoonekana kwa sasa.
No comments:
Post a Comment