JAMANI WAKANDARASI MPENI USHIRIKIANO KIONGOZI HUYU SHUPAVU!
Mh. John P.
Maghufuli Waziri wa Ujenzi.
Mh. J. Maghufuli
akifunga kongamano la kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, kwa kuwaomba wakandarasi
wafanye kazi kulingana na tataratibu, maadili na sheria za Ukandarasi.
Watanzania tumpe
ushirikiano Mh. J. Maghufuli ili afanye kazi yake kwa ufasaha ili wote tuweze
kufaidi na utendaji wake. Napenda kuwaomba Viongozi wa Jiji la Dar es salaam
jitahidini kumpa ushirikiano ili wakazi wa Jiji waweze kuepukana na huu
msongamano wa magari barabarani.
KAPINGAZ Blog
inampongeza sana kwa jitihada zake za kutuletea maendeleo
Watanzania.
No comments:
Post a Comment