LUGHA GONGANA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA; HICHO NDICHO KISWANGLISH PURE.
Hapo ndio mlango wa kuingia katika uwanja wa
Ndege wa Kigoma ukisoma hayo maandishi utajua kinachoendelea ni nini!
Wazungu wenyewe hawana tabu washakielewa
kilichoandikwa wana furaha tele wakijiandaa kuingia.
KAPINGAZ Blog inawaomba wahusika wa Uwanja huu
warekebishe hayo maneno hapo wanajiaibisha na pia wanauaibisha uwanja
huo.
No comments:
Post a Comment