Tuesday, October 25, 2011

MHASIBU MKUU DELMORE COMPANY - AFRICA DENIS FULGENCE AUAGA UKAPERA.

Maharusi wakiingia Ukumbini kwa kwa furaha na Stail ya aina yake.

Bwana na Bibi Denis Fulgence wakiwa katika pozi la kipicha zaidi.

Mr and Mrs Stephen Malakasuka nao hawakuwa nyuma katika kushereheka pamoja katika harusi ya Wapendwa wetu Maharusi.
Bi Harusi Ajimbo Fulgence akiwaongoza wageni waalikwa kwenda kwenye kuchukua chakula kilichoandaliwa na wataalam wa upichi wa Bufee ndani ya Ukumbi wa Beach Komba.

HONGERENI SAAANAA!! MMEPENDEZA.

No comments:

Post a Comment