Maofisa wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza, ulipoagwa jana.
| Wake wa Jenerali Kiaro, Penina (Kushoto) na Zainabu (kulia) wakishuhudia mwili ukiagwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza |
| Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, ACP Liberatus Barlow, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jenerali Kiaro ulipoagwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza |
| Wake na watoto wa Jenerali Kiaro wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza |
No comments:
Post a Comment