|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Zakhia Bilal, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa msanii wa Filam, marehemu Steven Kanumba, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. |
<><><><> >
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mama mzazi wa msanii wa Filam, marehemu Steven Kanumba, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. |
<><> <><><><><>
>
Wasanii wakifikisha jeneza hilo katika mahala palipoandaliwa rasmi kwa ajili ya kuaga.
|
Umati wa Watu ukishuhudia na kuzizima kwa makelele na vilio wakati mwili wa Kanumba ukiwasili viwanjani hapo. |
<><> >
|
Watu wa Msalaba Mwekundu wakifanya kazi ya kubeba watu walioanguka na kuzimia ama kupoteza fahamu kwa ajili ya kuwapatia huduma ya kwanza wakati mwili wa marehemu ukiwasili. |
<><><><> >
Wanakwaya wakitoa burudani mahala hapo.
No comments:
Post a Comment