![]() |
| Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisoma malezo ya awali kwa waheshimiwa wabunge namna ambavyo uchaguzi huo utakavyoendeshwa na taratibu zitakazofuatwa. |
![]() |
| Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari akimuuliza swali mmoja wa wagombea wa Bunge la Afrika Mashariki. |
![]() |
| Mgombea Ubunge wa Afrika Mashariki katika Kundi la wanawake Bi. Shyroze Bhanji akijinadi kwa wabunge wakati wa zoezi la uchaguzi lililofanyika jana Bungeni Dodom |
![]() |
| Wabunge wakipika kula |




No comments:
Post a Comment