Thursday, April 5, 2012

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Azungumza na Umati Wa Wananchi Ofisi NdogoYa Chadema Mkoani Arusha.


Mwenyekiti wa chadema Freman Mbowe katikati  akitoa hotuba yake kwa wananchi kushoto ni mbunge mteule  wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nasari na kulia ni  Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini mara baada ya hukumu kutolewa.Picha na Habari na Gladnedd Mushi-Arusha

Mama anaekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 56 Mwanachama wa Chadema Akiwa Amepoteza Fahamu Kwa Kushitushwa na Taharifa Hizo za Mh Lema Kuvuliwa Ubunge wa Jimbo La Arusha.

No comments:

Post a Comment