Monday, April 16, 2012

ULIKUWA UCHAGUZI WA KIHISTORIA, HAKI NA AMANI.

Loveness Edwin Mamuya ambae alikua mgombea wa Urais kwenye mkutano wa uchaguzi uliofanyika Jumapili Aprill 15, 2012 na kupata kura 119.
Iddi Seif Sandaly ndio Rais mpya aliyechaguliwa kwenye mkutano wa uchaguzi wa Watanzania DMV uliofanyika katika ukumbi wa Mirage, Iddi Seif Sandaly alishinda kwa kura 205


Wasimamizi ya masanduku ya kupigia kura.

  Umati unakadiriwa kufikia zaid ya 500 wakifuatilia mkutano.
 Wajumbe wa bodi ambao wote walipita kwenye uchaguzi huu kutoka kushoto ni Al- Amini Chande, Dr. Hamza Mwamoyo, Eliserena Kimolo, Grace Sebo Mgaza na Haruni Ulotu.
 Mzee wavijiiiiiiiiiithings...nae akuwepo njuma kutoa kula yake kwa ampendae/......
Vyombo Vya habari navyo filikuwa macho kutoa matokeo live kutoka heneo la tukio......

No comments:

Post a Comment