| MH BALOZI NDIYO ALIKUWA MGENI LASIMI KATIKA SHEREHE HIYO HAPA AKIONGE MACHACHE KWA WATU WALIO HUDHULIA HAFLA HIYO YA VIJIMAMBO 2ND ANNIVERSARY. |
| WATU WAKIBADIRISHANA MAWAZO YA HAPA NA PALE KABLA YA MGENI RASMI AJAINGIA. |
| MH BALOZI NA DJ LUKE WAKIINGIA UKUMBUNI TAYARI KWA UFUNGUZI WA SHUGHULI MZIMA. |
| WAREMBO NAO AWAKUBAKI NJUMA HAPA NI LINAH NA MARAFIKI ZAKE WAKIPATA PICHA YA KUMBUKUMBU SIKU HIYO. |
| MH BALOZI AKIPATA PICHA YA KUMBUKUMBU NA WATANZANIA. |
| PICHA ZA PAMOJA NA MH BALOZI |
No comments:
Post a Comment