Monday, May 14, 2012

SPIKA WA BUNGE AANE MAKINDA AWASILI JAPAN KUANZA ZIARA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anne Makinda (kulia) akiwa katika mazungumzo maalumu na Naibu Meya wa Mji wa Natori Takamoto Ohta (kushoto) baada ya kuwasili katika mji huo kwa lengo la kujionea uharibifu ulitokana na mafuriko ya Tsunami yaliyotokea machi mwaka jana ambapo zaidi ya watu 911 walipoteza maisha na wengine 53 kutopatikana katika mji huo. Spika na ujumbe wake wa wabunge 5 wapo katika ziara nchini Japan kwa mwaliko maalumu wa Bunge la Japan.

No comments:

Post a Comment